DRC yakabiliwa na wimbi la waasi walioibuka kutokana na mapigano

Your browser doesn’t support HTML5

Mapigano yanayoendelea Mashariki ya DRC na kuwaathiri wananchi yamesababisha kuibuka kwa makundi mengi ya waasi huku baadhi ya vijana wakichukua silaha na kuingia porini wakisema wako tayari kulinda nchi yao.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari