Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
DRC yapiga kura kuchagua rais, wabunge na viongozi wa serikali za mitaa
Your browser doesn’t support HTML5
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na serikali za mitaa Jumatano ambao umeshuhudia ucheleweshaji wa kufunguliwa vituo vya kupiga kura katika baadhi ya maeneo hali iliyozusha vurugu.