DRC yasema iko tayari kwa zoezi la uchaguzi wa urais na wabunge Jumatano

Your browser doesn’t support HTML5

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yajiandaa kufanya uchaguzi wa urais na wabunge Jumatano huku Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikitangaza iko tayari kwa zoezi hilo.

Kenya na Umoja wa Ulaya wasaini mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi hii leo jijini Nairobi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari