Baraza la Wawakilishi la Marekani linatarajia kupiga kura leo kuhusu sheria ya kusimamisha ukomo wa deni la serikali ikiwa imebakia wiki moja kabla ya serikali kukosa fedha za kulipa gharama mbalimbali.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari