Dunia yaadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani huku wataalam wakieleza ongezeko la maambukizi

Your browser doesn’t support HTML5

Dunia yaadhimisha siku ya Ukimwi huku wataalam wakisema kuna ongezeko la maambukizi kwa vijana.

Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu ametangaza msaada wa dola za Marekani bilioni 30 kwa ajili ya kutafuta suluhu ya mabadiliko ya hali ya hewa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari