Dunia yaadhimisha siku ya wafanyakazi, wito wa mazingira bora ya kazi watolewa

Your browser doesn’t support HTML5

Dunia yaadhimisha siku ya wafanyakazi wakati dunia wakati nchi zikikabiliwa na wito wa mazingira bora ya kazi, ongezeko la mishahara na mambo mengine.

Viongozi wa Afrika wametakiwa kuwekeza zaidi katika bara la Afrika ili kujisaidia wenye licha ya changamoto nyingi zinazowakabili.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari