Dunia yaendelea kuomboleza kifo cha shujaa Desmond Tutu

Your browser doesn’t support HTML5

Dunia yaendelea kuomboleza kifo cha shujaa Desmond Tutu aliyepinga ubaguzi wa rangi Afrika Kusini.
Mvutano kati ya Rais wa Somalia na Waziri Mkuu wake watishia kuvuruga uchaguzi mkuu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari