Dunia yaukaribisha mwaka 2024 licha ya kuwepo migogoro na wasiwasi wa usalama

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati dunia ikiukaribisha mwaka 2024 kwa tafrija mbalimbali kote ulimwenguni unakabiliwa na migogoro na wasiwasi wa kiusalama.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari