Duniani yaadhimisha Siku ya Kiswahili kauli mbiu ikiwa kuibua uwezo wa Kiswahili katika enzi ya kidigitali

Your browser doesn’t support HTML5

Dunia inapoadhimisha mwaka wa pili wa Siku ya Kiswahili imekuja na kauli mbiu ikiwa ni kuibua uwezo wa Kiswahili katika Enzi ya Kidigitali.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari