Ethiopia: Uchunguzi wabaini uhalifu umefanyika pande zote Amhara na Tigray

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake wanasimulia ubakaji waliofanyiwa na wanajeshi wa TPLF waliokuwa wanadhibiti maeneo ya nyanda za juu ya Ethiopia. Wengine waripotiwa kubakwa katika maeneo ya Amhara.