Ethiopia: Yabainika serikali na waasi wakati wa vita walitumia ubakaji kama silaha

Your browser doesn’t support HTML5

Tangu vita vilipozuka kati ya serikali ya Ethiopia na waasi wa Tigris People's Liberation Front mwaka 2020 imebainika ubakaji umetumiwa na pande zote kama silaha.

- Benki ya Maendeleo ya Afrika inatazamia kutoa msaada wa tani 500,000 za mbolea kwa ajili ya nchi za Afrika Magharibi.

- Rais wa Senegal amfukuza kazi Waziri wa Afya baada ya watoto wachanga 11 kufariki katika ajali ya moto kwenye hospitali moja huko.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari