Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Gavana wa zamani Haley anaendelea kuungwa mkono na wapiga kura wa Republican
Your browser doesn’t support HTML5
Gavana wa zamani wa South Carolina Nikki Haley anaendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa wapiga kura wa chama cha Republican hata baada ya kujiondoa katika kinyang'anyiro cha urais.