Guterres atoa wito wa misaada zaidi kufikishwa Gaza ambayo imezingirwa na vita

Your browser doesn’t support HTML5

Katibu Mkuu wa UN atoa wito wa msaada zaidi kuingia Gaza iliyozingirwa.

Rais mteule wa Senegal aahidi utawala wa maridhiano na kuwaunganisha Wasenegal.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari