Helikopta ya Jeshi la Kenya yaanguka ikiwa na abiria tisa

Your browser doesn’t support HTML5

Helikopta ya Jeshi la Kenya yaanguka eneo la Sindar kaunti ya Elgeyo Marakwet majira ya saa nane na dakika 20 alasiri ikiwa na abiria tisa.

Waliojeruhiwa katika mapigano DRC waomba matibabu na chakula.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari