Hotuba ya Rais Trump yaelezwa kuwa ni ushindi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa hotuba ya kwanza katika utawala wake mbele ya Bunge ikielezwa kuwa ni ushindi.

Maoni tofauti yatolewa kuhusiana na hotuba ya Rais wa Marekani mbele ya Bunge.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

#habari