Human Rights Watch yabaini ushirikiano kati ya mataifa katika utekaji nyara

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu (Human Rights Watch) limebaini kuwepo ongezeko la ushirikiano kati ya mataifa kuwateka nyara wakosoaji wa serikali na viongozi wa upinzani.

Mkuu wa Jeshi la Sudan Abdulfatah al-Burhan atembelea mji wa Wad Madani, mji mkuu wa jimbo la Al Jazira.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari