Viongozi hao walisema Washington na Beijing zinajukumu la pamoja kuonyesha dunia wanaweza kukabiliana na tofauti zao kwa kuzuia mashindano kugeuka kuwa ugomvi. Endelea kumsikiliza mwandishi wetu akikuletea repoti kamili...
Indonesia: Rais Joe Biden na Rais Xi Jinping wajadili kuimarisha ushirikiano
Your browser doesn’t support HTML5
Baada ya miezi kadhaa ya mivutano kati ya Marekani na China juu ya mambo kadhaa ambayo mataifa hayo yanatofautiana ikiwemo suala la Taiwan, Rais Joe Biden and Rais Xi Jinping walikutana Bali, Indonesia pembeni ya Mkutano wa G20.