Israel na Hamas wanaendelea kuwaachilia mateka na wafungwa kwa siku ya tano

Your browser doesn’t support HTML5

Israel na Hamas wakubaliana kuwaachilia mateka na wafungwa kwa siku ya tano tangu kuanza kusitishwa mapigano.

Serikali ya Kenya yapata pigo baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali sheria ya kuhusu kodi ya nyumba...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari