Israel na Hamas zakubaliana kusitisha mapigano ili kuruhusu misaada kuingia gaza

Your browser doesn’t support HTML5

Israel na Hamas Jumatano zimekubaliana juu ya sitisho la mapigano katika Ukanda wa Gaza kwa siku nne ili kuruhusu misaada kuingia na kuachiliwa wafungwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari