Israel na Hezbollah warushiana makombora katika mapigano makali

Your browser doesn’t support HTML5

Israel na wanamgambo wa Hezbollah wamerushiana makombora katika mapigano makali kwenye mpaka wa Lebanon na Israeli.

Abiria 23 wameuwawa kwa kupigwa risasi nchini Pakistani baada ya kutambuliwa na kuondolewa kwenye magari walipokuwa safarini.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari