Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Israel yatangaza mateka 13 wameachiwa huru na Hamas - CNN
Your browser doesn’t support HTML5
Israel imetangaza kwamba mateka 13 wameachiwa huru hadi wakati huu tunaenda hewani kwa mujibu wa shirika la habari la CNN.