Je, unayajua matokeo yaliyogonga vichwa vya habari nchini Tanzania 2023?

Your browser doesn’t support HTML5

Matokeo kadhaa nchini Tanzania mwaka 2023 yamegonga vichwa vya habari ikiwemo mchakato wa uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam.

Jingine ni tukio baya la maporomoko kaskazini mwa Tanzania.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari