Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Jeshi la Israeli lashambulia usiku kucha Ukanda wa Gaza ukilenga malengo 200
Your browser doesn’t support HTML5
Israel imesema leo jeshi lake limeshambulia malengo 200 huko Ukanda wa Gaza usiku kucha wakati wanajeshi wa Israel walipokusanyika katibu na mpaka wa Gaza.