Kenya: Kundi la watu kati ya 400 hadi 500 wawasili kila siku katika kambi ya Daadab

Your browser doesn’t support HTML5

Kati ya watu 400 hadi 500 wanawasili katika kambi ya Daadab kila siku kulingana na shirika la umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, wengi wakiwa wamelazimika kukimbia makazi yao Somalia kutokana na ukosefu wa mvua kwa misimu mitano mfululizo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari