Kenya: Kusogezwa kwa mjadala wa mswaada wa kifedha waibua maoni mseto

Your browser doesn’t support HTML5

Mjadala wa mswaada wa kifedha katika Bunge la Kenya umesogezwa mbele hadi wiki ijayo hatua iliyoibua maoni tofauti tofauti.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari