Kenya: Maoni mbalimbali yatolewa na Wakenya kuhusiana na mswaada wa fedha uliosainiwa kuwa sheria

Your browser doesn’t support HTML5

Wakenya watoa maoni yao kuhusiana na Rais William Ruto kusaini mswaada wa fedha kuwa sheria ukiwa na lengo la kuongeza kodi katika bidhaa mbalimbali.

Ujumbe wa UN unaofuatilia masuala ya Ukraine umesema Russia imekamata raia zaidi ya 800 tangu ghasia zilipozuka mwezi Februari, watu 77 walinyongwa

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari