Tume ya uchaguzi Kenya imemtangaza rasmi rais Uhuru Kenyatta kama mshindi wa uchaguzi wa mwaka 2017 kwa kura 8,203,290 au asilimia 54.27 ya kura zote.
Kenyatta ashinda awamu ya pili urais Kenya
Uhuru Kenyatta na William Ruto wakiwa katika kampeni