Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Kenya yabadili mfumo wa ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu
Your browser doesn’t support HTML5
Kenya imebadili mfumo wa ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu, miongoni mwa mabadiliko hayo ni kuondolewa ruzuku ya serikali kwa wanafunzi wa vyuo hivyo, kinyume na ilivyokuwa hapo awali.