Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Kenya yaomboleza kifo cha Mwai Kibaki
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kipindi cha maombolezo na bendera kupepea nusu mlingoti nchini Kenya kufuatia kifo Ijumaa cha Rais wa tatu wa nchi hiyo, hayati Mwai Kibaki.