Kenya yashuhudia maandamano yenye ghasia kufuatia Odinga kutangaza yataendelea siku tatu

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya inaendelea kushuhudia athari ya misururu ya maandamano baada ya kinara wa Chama cha Azimio Raila Odinga kuitisha maandamano ya siku tatu mfululizo kuanzia Jumatano.

Russia imefanya shambulizi katika mji wa Odesa, Ukraine siku ya Jumatano.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari