Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Kiongozi mkuu wa Iran asema yuko tayari kwa mashauriano mapya ya nyuklia na Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Iran imeonyesha nia ya kutaka kuanza tena mazungumzo ya nyuklia lakini imeashiria kutokuwa na imani na Marekani.