Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Kongamano la chama cha Republican laingia siku ya pili
Your browser doesn’t support HTML5
Kongamano la Warepublikan laingia siku ya pili katika mji wa Milwaukee, Wisconsin huku mambo mengi yakijadiliwa ikiwemo chaguo la mgombea.