Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Kongamano la Kitaifa la chama cha Republican laendelea Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Kongamano la Kitaifa la Chama cha Republikan laendelea katika mji wa Milwaukee huku wanachama wa chama hicho wakisikiliza yanayojadiliwa kujiandaa na upigaji kura.