Kampeni za mwezi mmoja kabla ya uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ilianza rasmi Jumapili kukiwa na wasiwasi juu ya kufanyika uchaguzi huo kwa njia huru na ya amani.
Zimbabwe yataabishwa na kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu...
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari