Maambukizi ya aina mpya ya virusi omicron yagunduliwa kote duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Kesi zaidi za aina mpya ya virusi vya corona vinavyojulikana kama Omicron zimegunduliwa kote duniani.
Rwanda yasitisha kwa muda safari zake za ndege Kusini mwa Afrika kufuatia mlipuko wa aina mpya ya virusi omicron.

Mkutano wa nane kati ya Afrika na China umefunguliwa rasmi Jumatatu Dakar, Senegal.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari