Maandamano makubwa yaitishwa Sudan baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu

Your browser doesn’t support HTML5

- Wanaharakati wametangaza maandamano mapya Sudan wakati mgogoro wa kisiasa ukiongezeka kupinga utawala wa kijeshi baada ya Waziri Mkuu Abdalla Hamdock kujiuzulu.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari