Makamanda wa DRC na Uganda wapitia tena operesheni dhidi ya waasi
Your browser doesn’t support HTML5
Makamanda wanao ongoza operesheni Suja huko Beni, Kivu Kaskazini, mashariki mwa DRC ambao ni muungano wa Jeshi la Uganda, UPDF na Jeshi la Congo, FARDC wamekutana Mjini Beni Kivu kaskazini Jumatatu kutathmini operesheni dhidi ya waasi.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari