Mamia wajitokeza kusheherekea utawala mpya Burkina Faso

Your browser doesn’t support HTML5

Mamia ya watu wafurika katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou kusheherekea utawala mpya nchini humo.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari