Mapigano kati ya waasi na wanajeshi yaongezeka mashariki ya DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Mapigano kati ya waasi na wanajeshi wa serikali yameongezeka mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Waasi nchini Syria wamedhibiti miji kadhaa ikiwa ni mtihani mkubwa kwa utawala wa Bashar al-Assad.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari