Marekani kuwasilisha ombi dhidi ya Russia Baraza Kuu la UN

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani italiomba Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA, kuiondoa Russia katika Baraza la Haki za Binadamu. ameeleza Balozi wa Marekani katika umoja huo.

Uhaba wa mafuta Kenya wazidi kuliumiza taifa hilo, huku miji mikubwa ikiripoti misururu mirefu ya magari katika vituo vya mafuta.

Umoja wa Mataifa imeripoti kuwa mapigano kati ya serikali ya Ethiopia na waasi huko Tigray yawakosesha makazi watu zaidi ya milioni 2.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari