Marekani na Ukraine waanza mazungumzo kwa ajili ya kumaliza vita

Your browser doesn’t support HTML5

Mazungumzo baina ya Marekani na Ukraine kwa ajili ya kumalizi vita vya Ukraine yanafanyika Saudi Arabia.

Jeshi la Uganda limechukua udhibiti wa mji wa Lubero mashariki ya DRC.


Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

#habari