Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari
Marekani yaadhimisha Sikukuu ya Mashujaa
Your browser doesn’t support HTML5
Siku ya Mashujaa, maarufu kama siku ya Armistice, ni sikukuu ya serikali kuu inayo sheherekewa Novemba 11 kwa ajili ya kuwaenzi wanajeshi wa zamani.