Marekani yarejea wito wake wa Israel kulinda maisha ya binadamu wasiokuwa na hatia

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati Israel inaendelea kupanua operesheni zake za kijeshi huko Gaza Jumapili, Marekani imerejea wito wake wa kulinda maisha ya binadamu wasiokuwa na hatia.

Mfalme wa Uingereza Charles III anaanza ziara yake ya siku nne nchini Kenya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari