Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Mataifa ya Afrika yaeleza changamoto kubwa ya matibabu ya tiba ya Figo
Your browser doesn’t support HTML5
Dunia yaadhimisha siku ya Figo huku mataifa kadhaa ya Afrika yaeleza kuwepo gharama kubwa za tiba hiyo.