Mazungumzo ya amani kuhusu DRC yaahirishwa, Tshisekedi akutana na Ruto

Your browser doesn’t support HTML5

Mazungumzo ya amani kuhusu DRC yaliokuwa yamepangwa kufanyika Nairobi yameahirishwa, huku Rais wa Kenya William Ruto akikutana na Rais wa DRC Felix Tshisekedi

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari