Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Mexico yapata rais mwanamke kwa mara ya kwanza
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa mara ya kwanza Mexico yapata rais mwanamke ambapo maoni mseto yameendelea kumiminika katika taifa hilo lenye historia ya uhalifu na ukatili wa kijinsia.