Mfugaji mende aeleza ufahamu wa matumizi yake unahitajika

Your browser doesn’t support HTML5

Mfugaji wa mende Tanzania aeleza uelewa wa matumizi yake kama kitoweo unahitajika.

- Rais Joe Biden aanza ziara yake Ijumaa huko Asia kwa kuangazia uhaba wa chip za kompyuta.

- Kikosi cha walinzi wa taifa wa Ukraine kilitoa picha ya video ikionyesha wanajeshi wake wakilipua daraja kuzuia majeshi ya Russia kuingia katika mji wa Lysychansk.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari