Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Miaka 25 ya kumbukumbu ya shambulizi la kigaidi la ulipuaji mabomu Tanzania, Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Baada ya miaka 25 ya kumbukumbu ya mashambulizi ya kigaidi ya ulipuaji mabomu yaliyofanyika nchini Tanzania na Kenya, uhusiano wa nchi hizo na Marekani umeendelea kuimarishwa na kuboreshwa.