Mikutano ya Benki ya Dunia na IMF: Ajenda ya mageuzi na uchangishaji fedha huenda ikagubikwa na changamoto kadhaa

Your browser doesn’t support HTML5

Mikutano ya baada ya msimu wa baridi ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha, IMF, imewaleta pamoja wakuu wa benki kuu na maafisa wengine wa kifedha kujadili masuala ya kimataifa ikiwemo makadirio ya uchumi wa dunia mjini Washington DC, Marekani

- Kadhalika huenda ajenda ya mageuzi na uchangishaji fedha huenda ikagubikwa na changamoto ya mfumuko wa bei, ongezeko la mivutano ya kisiasa maeneo mbalimbali duniani na uthabit wa kifedha.

- Kenya yaendelea kukabiliwa na mzozo wa uchumi huku Rais William Ruto akisema hawezi kuchukua mkopo kulipa wafanyakazi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari