Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2019 Misri yaifunga Zimbabwe goli moja bila 21 Juni, 2019 Jaffar Mjasiri Your browser doesn’t support HTML5 Hali ilivyokuwa kabla ya mechi kuanza katika uwanja wa mpira nchini Misri. Washabiki wakiwa wamekusanyika kuingia kiwanjani.